Joining Instructions & Fee Structure

A.    MICHANGO MINGINE.

Jedwali namba 2.

 

1ST YEAR

 

2ND YEAR

 

3RD YEAR

DESCRIPTION

AMOUNT

DESCRIPTION

AMOUNT

DESCRIPTION

AMOUNT

 

HEALTH INS

 

50,400

 

HEALTH INSURANCE

 

50,400

 

HEALTH INSURANCE

 

50,400

MINISTRY OFHEALTH (MoH) EXAMINATION FEE

 

 

150,000

MINISTRY OF HEALTH (MoH)

EXAMINATION FEE

 

 

150,000

MINISTRY OF HEALTH (MoH)

EXAMINATION FEE

 

 

150,000

NACTVET QUALITY ASSURANCE FEE

 

15,000

NACTVET

QUALITY ASSUARANCE FEE

 

15,000

NACTVET QUALITY ASSUARANCE

FEE

 

15,000

UNIFORM

136,000

 

 

 

 

TOTAL

351,400/=

TOTAL

215,400/=

TOTAL

215,400/=

UTARATIBU WA ULIPWAJI WA ADA NA MICHANGO MINGINE.

  • Ada zetu zinalipwa kwa awamu mbili kwa mwaka (muhula wa kwanza na muhula wapili).
  • Malipo yote ya michango mingine yanalipwa katika muhula wa kwanza kwa mwakawa masomo
  • Malipo yote ya ada yatafanyika kupitia akaunti za Taasisi, kama zilivyoainishwa katika fomu hii, na mwanafunzi atatakiwa kuwasilisha stakabadhi ya benki (pay in slip) pindi tu anapowasili chuoni, na kupatiwa risiti ya malipo

AKAUNTI ZA TAASISI. AKAUNTI YA CRDB

Jina la Akaunti: MACHAME HEALTH TRAINING INSTITUTE

Namba ya Akaunti: 0150206907200

 AKAUNTI YA UCHUMI COMMERCIAL BANK (UCB)

Jina la Akaunti: ELCT ND MACHAME HEALTH TRAINING INSTITUTE

Namba ya Akaunti: 00102000555.

B.     MAHITAJI YA CHUO

  1. SARE ZA WAVULANA

Mwanafunzi atapatiwa sare zifuatazo mara tu baada ya kuwasili na kukamilishataratibu za malipo:

  • Suruali mbili za khaki
  • Mashati mawili ya mikono mirefu ya rangi nyeupe
  • Koti moja jeupe (clinical coat) (iv)Sweta moja

Pamoja na hayo mwanafunzi atatakiwa kuja na:

  • Viatu vyeusi vyenye visigino vifupi
  • Tai rangi nyeusi kwa wanafunzi wa mwaka wa
  • Soksi ndefu za rangi
  1. SARE ZA

Mwanafunzi atapatiwa sare zifuatazo mara tu baada ya kuwasili na kukamilishataratibu za malipo:

  • Magauni mawili ya rangi
  • Koti moja jeupe (clinical coat)
  • Sweta moja

Pamoja na hayo mwanafunzi atatakiwa kuja na:

  • Viatu vyeusi vyenye visigino vifupi
  • Soksi ndefu za rangi

C.    SHERIA ZA CHUO:

Mwanafunzi atakapofika chuo atapatiwa sharia za chuo.

D.    MAHITAJI MENGINE:

Pia mwanafunzi atahitajika kuja na vitu vifuatavyo:

  •  
  • Shuka mbili ( rangi ya pinki kwa wasichana na rangi ya light blue kwa wavulana )
  • Mto na foronya rangi ya
  • Vifaa vya michezo
    • Jezi ya dack blue kwa wasichana
    • Jezi nyeusi kwa wavulana
    • Raba za
  • Taulo
  • Ndoo moja ya plastic
  • Picha mbili – stamp size
  • Mwanafunzi atatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya (Medical Examination) katika hosipitali yoyote inayotambulika, kisha kujaza fomu (iliyotolewa na chuo) na kuiwasilisha mara tu baada ya kuripoti
  • Atatakiwa aje na nakala ya vyeti vya matokeo ya mtihani wa kidato cha nne na cheti cha kuzaliwa vilivyothibitishwa na Hakimu au Wakili (certified copies).
  • LAPTOP kwa ajili ya masomo (inashauriwa, ila siyo lazima).
  • Godoro moja futi mbili na nusu kwa sita .
  • Sahani, kikombe na
  • Rim paper mbili aina ya “Double A PREMIUM” yenye vipimo “A4(210x297mm), 80gms, kwa muhula wa kwanza na wa pili

Kwa Mawasiliano Zaidi;

KARIBU TAASISI YA MAFUNZO AFYA MACHAME

OFISI YA MKUU WA CHUO (PRINCIPAL OFFICE)

+255784010308           +255655310308

OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO- TAALUMA (DEPUTY PRINCIPAL ACADEMIC)

+255768743739           +255627838274

OFISI YA UDAHILI (ADMISSION OFFICE)

+255624218905          +255763319962

+255625693487          +255715763587

+255784010308          +255655310308

+255742506567

OFISI YA MLEZI (DEAN OF STUDENTS)

+255783513500

+255629868630

+255769141427

+255678895521

+255784695521

+255754032257

+255754644452

+255768544826

OFISI YA UHASIBU (ACCOUNTANT OFFICE)

+255755483668          +255754417295

+255687862274

OFISI YA MITIHANI (EXAMINATION OFFICE)

+255756027972         +255621327568